... Watoto Yatima cha Kiwalani umeshukuru sana kwa msaada waliopewa kutoka kwa wanamuziki hao wa Marekani kupitia kampuni ya simu za mikononi ya TIGO ambayo ndio mdhamini mkuu wa onesho hilo linalofanyika usiku wa leo Movenpick hotel...
Seleman Msindi aka Afande Sele ama ukipenda pia muite Simba Mzee kwake hakuna noma washkaji amenitonya leo kwa njia ya simu kuwa baada ya kutoa hewani singo yake ya kwanza iitwayo Karata Dume ambayo itabeba albamu nzima,amesema kuwa ...